Kitidore

Kitidore ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watidore. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kitidore imehesabiwa kuwa watu 26,000, ambao 20,000 wao hawatumii Kitidore kama lugha ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitidore iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search